Free YouTube views likes and subscribers? Easily!
Get Free YouTube Subscribers, Views and Likes

PACOME KUCHEZA DHIDI YA TABORA UNITED? HUYU HAPA ALLY KAMWE AWEKA WAZI

Follow
Mpenja TV

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, Leo Aprili 29, 2024 amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex

Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.

posted by atocadasew