YouTube magic that brings views, likes and suibscribers
Get Free YouTube Subscribers, Views and Likes

Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024

Follow
Azam TV

Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 30 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.

posted by Krisztesdav